Kama wewe ni mjanja na mpenda muziki wa aina mbalimbali basi ukitajiwa jina la Azonto lazima uanze kuadisia hata uchwezaji wa nyimbo hiyo, namzungumzia Fuse Odg toka Ghana sasa anakuja kuwashika Ballerz wote na Divaz wote wa jijini Dar ndani ya viwanja vya ustawi kuanzia saa 2 usiku hadi kukuche. Njoo ucheze Azonto hadi ubiduke na Antena au sio,Hii si ya kukosa mtu wangu wa kweli...Tarehe 7.9.2013 kwa kiingilio cha Tsh 10,000/= ukinununa ticket kabla na getini utauziwa kwa Tsh 15,000/= keep that on your head
0 comments:
Post a Comment