Recent Comments

NEWS:HII NDIO PARTY YA ONEZA (ONEAL & FEZZA KESSY)WALIYOANDALIWA JIJINI GABARONE

Ukitaja jina la Oneza kwa watu basi watakujuza
ni kina nani lakini aswa kwa wale
wanaofuatilia maswala ya mitandao na habari kiujumula.
Oneza nikimanisha Oneal & Fezza kessy hawa wote walikuwa
washiriki wa Big Brother the chase 2013 lakini awakubahatika kufika
mbali na kuyaaga mashindano hayo,lakini baada ya michuano
ile Fezza Kessy kwa sasa yupo jijini Gabarone nchini Botswana
ambapo amemfata yule kijana aliekuwa
 na uhusiani nae ndani ya jumba ilo
ajulikanae kama Oneal...
Baada ya kuwasili hii ndio Party iliyoandaliwa kwaajili yao yanii
Fezza na Oneal itakayokwenda kwa jina la ONEZA usiku wa leo.

Lakini Suprise inayoweza kuteka zaidi
watu ni pale mwanadada Fezza kessy
kutimiza kile alichokiandika
kwenye ukurasa wake wa Twitter
aliandika hivi ''I might just perform on
Thursday Night why Not'' Aliandika hivi.


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment