Recent Comments

NEWS:IT'S FINALLY HERE......STAY TUNED,TODAY TO BE RELEASED ....!!

Kile kitu watnzania wengi walichokuwa wanakisubiria
 kujua undani wa ukaribu wa Jokate
na Producer Lucci sasa Leo kujulikana baada ya
kusubiria kwa siku 4 leo kupitia luninga yako
Jokate Urban Mwegelo na Lucciano
 watatambulisha Nyimbo yao mpya
kuanzia mida ya saa 4 usiku saa za Afrika Mashariki
kwenye Channel za kawaida za nchini,
Don't miss this out,ni mapinduzi ya kweli kwenye muziki....


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment