Mwana Hip Hop tajriri duniani hapa namzungumzia Jay-Z baba wa mtoto Mmoja tarehe 1 november anatazamiwa kuwepo kwenye falme za kaiarabu kuporomosha show matata kwenye umoja wa falme hizo ari maarufu kama Abu dhabi kwenye mashindano ya magari ya Abu dhabi Grand Prix...
Jay-Z naona amefata nyayo za mkewe Beyonce Knowles aliefanya show kwenye maonesho ya mbio hizo za magari mnamo mwaka 2009 na kuudhuriwa na watu wengi ikiwemi mtoto wa mfalme wa Saudia Arabia.....
0 comments:
Post a Comment