Recent Comments

NEWS:KAMA ULIKOSA MKASI YA JOKATE UNAWEZA ICHEKI HAPA SASA


Habari mtu wangu wa kweli.......Nipo hapa kukujuza wewe ambae
 ata kama wajua basi nipo 

kukujuza zaidi....Hii ni yako wewe shabiki wa mwanadada huyu 
mjasiriamali na mwanamitindo
na Miss Tanzania #3 mwaka 2006,JOKATE MWEGELO
au waeza muitaKIDOTI akiwa kwenye kipindi cha
 Mkasi kinachoruka hewani
kupitia EATV waeza ukawa uliona Interview hii pia kama ulikosa
 basi ni muda muafaka wa kuiona
tena hapa hapa kwenye Blogsite yako ya kijanja zaidi....

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment