Star Tv huyu Kim Kardashian kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja aliezaa na mchumba wake wa sasa Kanye west...... Tangu kujifungua kwa mtoto huyo anaejulikana kama NORTH WEST Kim akuwahi kuonekana sehemu yoyote na hadi sasa mtoto huyo ajaonekana anafananaje wala taswira yake.... Lakini chakustajabisha usiku wa Jana wakati Mama yake Kim akiendesha kipindi chake kinachojulikana kama KRIS alipokea ghafla video ya Kim akimtakia Pongezi ya kipindi chake na kuwa yupo busy kwenye harakati za uleaji lakini yeye apitwi kila siku bila kuangalia kipindi hicho huku mashabiki wengine walipata fursa kumuona Kim K kwa mara ya kwanza tangu ajifungue akuwahi kuonekana sehemu yoyote......
Unaweza ukacheki video hii kujionea mwenyewe tukio zima....
0 comments:
Post a Comment