Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikaribishwa Rasmi kwenye mkutano wa ''High Level Group'' na Dr.Sheila Tlou,mkurugenzi wa UNAIDS Regiona Support Team kwa nchi za Afrika ya Mashariki na kusini mwa Afrika katika siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika Gaberone nchini Botswana...
Namkubali mama Salma kikwete wa ukwee kiukweli
ReplyDelete