Ukiangalia watu hawa lazima utakuwa umeziona sura hizi kwenye matangazo au hata mabango ya matangazo au hata kwenye pirika pirika za kutafuta mpunga mjini bongo dsm.... Lakini hapa wapo kivingine kabisa yanii nikimaanisha shuguli zao kubwa za kama wanamitindo zimeweza kuwatoa hadi hapo walipofika sasa lakini hii ni kimataifa zaidi....
Namzungumizia Danny David & Maridadi,wanaofanya vizuri kwenye maswala ya mitindo nchini,unaweza cheki picha hizi za hivi karibuni walizopiga kutangaza vifaa vya kampuni ya michezo Adidas,ukitofautisha tushazoea kuona matangazo kama haya ya picha wanafanya wanamuziki wakubwa nje na wanamichezo wakubwa,lakini hii inaonesha jinsi gani kwa kiasi kikubwa tunaweza piga hatua kwenye sekta hii....
0 comments:
Post a Comment