Kutoka Hollywood mtu wangu wa kweli nimeamua kukuwekea Filamu hizi tano zenye mvuto wa aina yake na ndio kwanza zipo sokoni wikii ya kwanza zikiwa zimetoka August 1 tu hapo unaweza zitafuta au kuangalia hata kwenye majumba ya cinema hapa hapa Bongo kwenda na wakati zaidi au sio....??? Tupia jicho lako la tatu huku basi.....
0 comments:
Post a Comment