![]() |
| Tameka ameiomba Mahakama kuangalia tena uwezekano wa yeye kupewa haki miliki ya kuwalea watoto wake baada ya swala ili kutokea alisema haya ''Naomba nipewe wanangu kiukweli naumia,tokea aanze kuwaangalia mmoja nimempoteza sio baba mzuri kwa watoto na huyu tena jamani haki iangaliwe,ajui kuangalia watoto ndicho kinachosababisha kuwaachia watoto watu baadala ya yeye kuwa karibu nao....'' |
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment