Mwanamuziki mwenye matashititi yake yanii mwenye mvuto wake kutoka Young Money,Nicki Minaj aweka rekodi nyingine. Kutokana na album yake ya PinkyFriday Nicki Minaj amekuwa mwanamke wa kwanza Rapper kufanya vizuri kwenye Chat za Muziki nchini humo. Aidha album hiyo imewezwa chezwa kwa siku zaidi ya mara 20 hadi 40 nchini humo licha ya kuwa na album zingine lakini PinkFriday ndio iliyoweka rekodi hadi sasa.
Hongera kwa Young Money na First Lady mwenyewe Nicki Minaj kwa kuzidi kufanya vitu vizuri na kuweza kuuteka soko la muziki duniani kijumla.
0 comments:
Post a Comment