Hivi katika tumeweza sikia mnyamwezi huyu toka Pande za Marekani ndio anaeongoza kwa mkwanja mrefu kwa wana hip hop kwa mujibu wa FORBES.... Lakini siku ya jana paparazi waliweza kumfumania mwanamuziki huyo akitoka Hospitali akiwa na kibandika jicho kwenye jicho la kulia kwake na inasemekana amekuwa nacho kwa muda upitao siku 8 hadi sasa kutokana na kusumbuliwa na tatizo la macho.... Picha hii anaonekana P.diddy akitoka hospitali akiwa na Daktari wake pembeni akiwa na mlinzi wake akielekea kwenye parking...... Pole sana Mnyamwezi....GET WELL SOON...!!
0 comments:
Post a Comment