Ukiangalia kwa pembeni yanii ukingoni mwa ndege hii inasomeka kama 'TANZANAIR'' Ndege hii imedondoka kanda ya ziwa kwenye ziwa Manyara. Ndege kampuni ya Air Tanzania imedondoka tarehe 23.8.2013 majira ya mchana. Inavyonekana ndege ile ilielemewa na mizigo zaidi ingawa hadi sasa aijatoka kauli yoyote ya chanzo cha ndege hiyo kuanguka.....
Unaweza zicheki picha hizi kujionea hali halisi ya ndege hii...:
0 comments:
Post a Comment