Habari zinazojili muda huu wa mchana ni Rais wa 42 wa Marekani Bw.Bill Clinton yupo kwenye ardhi ya Tanzania majira haya ya mchana..... Ingawa habari kutoka serikalini bado awajaweka wazi kama amekuja kiziara au lah.... Ingawa kwa Mujibu wa Clouds Fm Rais huyo amewasili nchini na mikakati muhimu na kutia sahii mikataba kadhaa baina ya Tanzania na Marekani.... Kaa nasi hapa kwenye Blogsite yako tutazidi kukujuza zaidi yanoyojiri ndani na nje ya nchi kitaifa na kimataifa...... Mchana Mwema...
0 comments:
Post a Comment