Recent Comments

WABUNGE NCHINI THAILAND WAZICHAPA LIVE BILA CHENGA

Waeza sema ni utani lakini ni kweli yametukia nchini Thailand....
Wabunge wa nchini humo wakiwa kwenye mkutano
wa Bunge wa kupiga kura za maoni juu ya uzalishwaji wa Nyuklia
,lakini uzalendo uliwashinda asa wabunge wa upinzani
na kuanza kurusha makonde hadharini bila chenga
ndani ya ukumbi wa Bunge...
Pata shika nguo kuchanika....

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. Hii sio Thailand bana, ni Japan au China, kwani maanishi hayaonekani vyema, ila kwa muonekano inaonesha ni Wajapan, so angalia hizo picha

    ReplyDelete