| Baada ya kuwasili eneo la tukio,nikisalimiana na baadhi ya wasanii waliokuwa wametangulia.. mmh Recho kunitoleaa macho!!Linah anachekelea tu kwa mbali |
| Rommy Jones na Shadee wa Clouds |
| My boy Qboy msafi akifuatilia kitu kwa makini |
| Kwanza tukaanza kuwalewesha kwanza kama hivi.......... |
| Hilo nyomi sasa..watu wangu wa Moro mlitisha saaana!!! |
| Ama nini...!! |
| Hapa ni mwendo wa kuimba wote tu |
| My boy Dummy |
| Rommy J on one&two |
| Noma sana... |
| Nikiitazama moja ya siraha yangu ya WCB,Imma pltnumz anavyowatendea haki mashabiki |
| Tulia bwana mdogo hebu nitizame mimi kwanza |
| Dummy |
| Ikafika ile time ya kumkalisha huyu bitozi wa Manzese |
| Brothermen vipi bado unabisha?? |
| Ubaya wenu wengi kayumba,elimu mliitupa sandakalawe!!!! |
| Dada zetu wanavaaga nguo za hivi kweli??huyu Nay vipi!!! |
| Bora nikimbie usije nipiga mbata..ha ah ah a..was so fun |
| Twangala Dozen &Fetty |
| They call him Kiroboto the legendally,alikuwepo pia |
0 comments:
Post a Comment