Recent Comments

NILIPOVAMIWA NA WANAFUNZI NDANI YA MLIMANI CITY

Wakati mwingine natamani hata moyo
 wangu ungefunguka japo kwa dakika tu!, mkatazama ni kias gani na appreciate, nafurahi na kushkukuru kwa upendo wenu kwangu...siku zote husema,
 usipoweza kushkuru kwa kidogo hata ukipewa kikubwa huwezi kushkuru... na ndiomaana kila mnipacho sichoki
 kuwashukuru.. napenda niwashukuru saana wanafunzi na wadogo zangu walioonyesha mapenzi ya hali ya juu,nikiwa ndani ya Mliman city Asanteni sana!

Kumbu kumbu ni mhimu!!na Halikuwa tatizo
 kwao kutaka niandike sahihi yangu kwenye sare zao za shure


these kids got love aisee,pamoja na kuwa
 mda ulukuwa ushaenda san ,lakini  bado hawakutaka kuwa mbali na president


Zoezi la kutia sign likaendelea tena kwa wale waliokosa awali




Na hatimae walinisindikiza mpaka kwenye gari.na
 hawakutaka kuniachia kabisaa..!!!much love wadogo zangu



Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

4 comments:

  1. Yan ile peace&love dah pamoko sana plutnumz big up

    ReplyDelete
  2. So when are you gonna go back to school? im talking to you diamond

    ReplyDelete
  3. Pale unapowathamini wanaokupenda na kuwa nao pamoja mimi nafurahi sana sio master wengine hata ukimuita kumsalimia hajibu anakutazama vibaya hakujali hapo ndiyo huwa nawashangaa sana wewe ni kama Kanumba alimfurahia kila mmoja na hakuwa na majivuno uendelee na moyo huo huo

    ReplyDelete