Recent Comments

LYRICS:KIZAI ZAI ,KESHO,MAWAZO



KESHO  
   {Chorous}
=i> Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
       nataka kesho twende ukamuone mama x2


       {Verse 1}
 =I> Kwanza kabisa ntanyonga Tai
       T"shirt na Jeans ntatupa kidogo..
       Unite Nasibu usiniite Dai
       Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo...
       Naukifika uagize Chai
       Savanna Takila uzipe kisogo...
       Kuhusu mavazi kimini haifai
       Tupia pendeza ila za Hekima Logo...
=I> Even though wanaponda eti we ni kicheche
       Waambie ndoo  chaguo langu sasa wanicheke x2
       {Chorous}
 =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
        Nataka kesho twende ukamuone mama x2

        {Verse 2}
        Usilete swaga za Nainai
        Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo..
        Eti shoping twende Tai
        wakati Dadaangu anaduka kigogo..
        Ukikuta Nguna usikatae
        we zuga unapenda hata kama wa Muhogo..
        Kuhusu kabila mbona Sadai
        Mama angu hana noma hata kama Mgogo
 =I> Even though wanaponda eti we ni kicheche
        Waambie ndoo  chaguo langu sasa wanicheke x2
        {Chorous}
  =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
         Nataka kesho twende ukamuone mama x2

Mama yangu mama...
Mama Naseeb mama...
Mama Diamond mama...
Mama yangu nyumbani...
Mama Chali mama...
Mama Sepetu mama...
Mama Kidoti mama...
Kwa mama Diamond nyumbani...

        {Chorous}
  =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
         Nataka kesho twende ukamuone mama x2

KIZAI ZAI 


{Chorous}
Nyie Mapenzi yanauma     (Kizaizai)
Oooh Yanaumiza                   (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya          (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu             (Kizaizai)
Nyie Mapenzi karaha          (Kizaizai)

{Verse 1}
Yanaanza kama safari twende ukaone,
Kumbe yana nguvu ni hatari ukishazama ndio uponie..x2
Mungu aliumba dunia na Maajabu yaake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2

{Chorous}
Nyie Mapenzi yanauma     (Kizaizai)
Oooh Yanaumiza                   (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya          (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu             (Kizaizai)
Nyie Mapenzi karaha          (Kizaizai)

{Verse 2}
Yanakosesha raha....
Yananyima furaha....
Yanakoshesha raha na mawazo
Yananyima furaha Bila chanzo
Tena usiombe kupenda uliempenda ajuee
Tena usiombe kupenda uliempenda ajue
Amani utakosa Karaha jamani eeeh..
Dunia tena chungu kufa utatamani eeh..
Mungu aliumba dunia na Maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2

{Chorous}
Nyie Mapenzi yanauma     (Kizaizai)
Oooh Yanaumiza                   (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya          (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu             (Kizaizai)
Nyie Mapenzi karaha          (Kizaizai)

{Bridge}
So Mkumbatie akicheza ucheze nae
akiringa aeende...x2
Mkumbatie akikata ukate nae
akiringa aeende...x2

                                                                        MAWAZO


(Chorous)
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo,maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo.
(Vearse one)
Sikujua mapenzi balaa tena ni maladhi ya moyo kupendaga...
tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava...
Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijua!
Licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua,
Utu wangu unathamani inamaana kweli havijuaa!
Mmmh! Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (Inauma sana)
(Chorous)
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo,maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo. (rudia kuimba mara mbili)   
VERSE2 
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu...
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu,
ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu.
Kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa,
kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
Lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kwangu,
ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo wangu.

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. weka na ukimuona pia naupenda alafu siujui plz dai uandike

    ReplyDelete