Recent Comments

ALIYOANDIKA MHE.ZITTO KABWE KWENYE UKURASA WAKE WA JAMII WA FACEBOOK KUHUSU BUNGENI LEO...!!

Leo Bunge Limezima Juhudi zote za Kujenga Uwajibikaji waSerikali Kwa Bunge.
Mabadiliko Ya Sheria Ya Ukaguzi Wa Umma Yana nia Mbaya Sana
Kwa Nchi....!!
Asante Halima Mdee Kwa Juhudi zako za Kulinda Nchi...!!
Asante John Mnyika na John Cheyo Kwa Kumsaidia Halima.
Mmetimiza Wajibu Wenu....!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment