Recent Comments

JK KATIKA MKUTANO WA SADC NCHINI MSUMBIJI..!!

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
demokrasia ya Kongo(DRC) Na Mwenyeji wao Rais Armando Guebuza
wa Msumbiji wakati wa Kikao cha SADC,Jijini Maputo...!
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais wa Msumbiji
Armando Emmiio Guebuza wakiwa kwenye Mkutano wa Nchi za Jumuiya
ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Jijini Maputo Msumbiji Jana.

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment