Hii Stori Moja wapo kati ya Stori za Mbeya Zilizokaa sana kwenye Headlines Mwaka huu,Ni kuhusu yule Binti Alimchoma kwa Maji moto na Kumlisha choo Mtoto mwenye Miaka 3 ambae ni wa Dada yake... Mtoto Huyo alikatwa Mikono Baada ya Kushindwa Kutibiwa hospital...
TAHARIFA ambayo Imeripotiwa Kutoka Mbeya Kwamba Binti Huyo amehukumiwa Kifungo cha Maisha Jela...!!
0 comments:
Post a Comment