Usiku wa jana tareh 19/2/2013 ilikua ni siku nyingine ya kusheherekea kuzaliwa kwa mama mzazi wa Hamisi Mandi almaaruf kama B12, B'Dozen Mtangazaji maarufu na pendwa toka XxL ya Clouds Fm........ Na hiyo ndio Post aloiweka InstaGram usiku wa jana this is diamond inamtakia Maisha Maref yenye Afya Upendo na Amani tele.....
0 comments:
Post a Comment