Napenda Kumshukuru Mungu kwa siku ya Leo....Pia napenda kumshukuru Mungu kwa Kutujaalia uzima ,Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema...! Namtakia Happy Birthday Dada yangu Kipenzi Esma kwa kutimiza Umri wa Miaka 27 Duniani.....Namtakia Heri na Baraka Tele kwenye Maisha yake na Amani kwa ujumla. Upendo na Neema Izidi kushamiri Juu yake...!! Much Love to u my Blood Sister...!! HAPPY BIRTHDAY...!!
maaaaan yu gat a byuriful csta wish to av even her email...do that for me brother
ReplyDeletePlatinum Mbona huyo Hana sura ya kimanyema na ww Umesema she's your blood sister ??
ReplyDelete