Mashabiki wa Real Madrid wwakishangilia Bahada ya Timu yao Kupata ushindi Mnono toka kwa mahasimu wao Sevilla,ushindi wa mabao 4-1. Magoli ya Real Madrid yalifungwa na C.Ronaldo alifunga 3 na Benzema alifungia bao moja.... Huku Goli la Kufutia Machozi la Sevilla lilifungwa na Manu...!!
MALI 3 - GHANA 1 Magoli ya Mali yalifungwa na Kiungo mshambuliaji M.Samassa dakika ya 20 na S Diara ndani ya dakika za majeruhi (90)
Na Kwa Upande wa Ghana Magoli yalifungwa na K Assamoah
Mechi hiyo ilichezewa kwenye uwanja wa Nelson Mandela Bay Stadium....!! Na maudhurio uwanjani yalikuwa watu(6000)
0 comments:
Post a Comment