Recent Comments

SHILOLE CLASSIC IN S.A......!!

If You Live In S.A this is for u...!!
Yule Mtoto mzuri.....wa Kiuno bila mfupa,mtoto wa pwani.....,
Mtoto kutoka Tz mpaka S.A,Si Mwingine Bali
Shilole Classic Mama Mauno....Chini ya The Mafia na  Big Gunz
Ent Wanamleta Mdada Mwenye umbo zuri na Mwenye Kipaji cha pekee
stejini....Watanzania waishio South Afrika na Wenyeji hii Inawahusu sana...
Akisindikizwa na Baby Boy Kutoka South Africa...!!
Ni palepale  JOZ CITY CLUB(commisioner& Kruis CBD)
Tarehe 17/02/2013 Kuanzia Saa Moja  Mpaka Majogoo....kwa Kiingilio
cha R60 TU.....Ukikosa Hii Basi Jinyonge....!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment