Recent Comments

MSANII DIAMOND ALIVYOWAKUNA WAKAZI WA MOROGORO,MKUTANO CCM.... (BONYEZA LINK CHINI KUANGALIA VIDEO)


Katika Hali ya kushangaza .....ni pale morogoro
wakati Diamond platnumz Alipokuwa akiperform
na baada ya muda Mvua kubwa kuanza kunyesha Ghafla Bila
 ya Dalili yoyote kukatika muda uliosalia,
katika hali ya kustajabisha Mashabiki wa superstar
huyo anaetamba na kibao cha Kesho
mashabiki walidinda kuondoka licha mvua kubwa
 kunyesha na kulazimisha kuendelea kutumbuiza.
Diamond akiwa na dancers wake kwa stage walipandisha
 mashetani ya ghafla na kuakikisha wanakata
ile kiu ya ya muda mrefu ya mashabiki wa morogoro....huku mvua
 ikizidi kunyesha walikiwasha
kwa hari na mali kwenye mkutano wa ccm huku watu
 wakiwa wamesimama bila dalili ya kuogopa mvua...
Zilisikika sauti Pia za wananchi wakisema "Usishuke baba
 tupo radhi tukeshe na wewe hapa hapa"
na Mwingine na Mnukuu akipiga kelele akisema "Nipo
 tayari niwe hata kijakazi wake tu
kwa hizi raha nazozipata hapa....!!

Katika Diamond kushare na Fans wake wote all over
 the world ametuma Link ya video
ambao ukifungua utaweza kuona video hiyo ya morogoro
jinsi alivyo wakuna wakazi
wa morogoro kwenye mkutano wa ccm.....ameamua
 kushare na mashabiki zake wote
kuona kile alichokifanya kama Prezdent
wa Wasafi Dunia nzima..
.!!
http://youtu.be/2T3wn05k0io Click the link to see the video
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments: