Msanii Linex leo hii amekamilisha ndoto yake ya siku
nyingi kufanya kazi na msanii maarufu kutoka Kenya
"Wyre", ngoma hiyo ambayo kwa msaada wa
digitali inaelekea kukamilika, imetengenezwa beat
na producer Fundi Samweli ambae yupo Sweden
kwa hivi sasa, ambayo ilitumwa kwa Linex na kuipeleka
kwa producer Mswaki ambae pia ameongezea
maujuzi yake, na hapo ndipo linex akaingiza sauti zake.
Hatimae leo beat na vocal za Linex zimetumwa Kenya
kwa ajili ya Wyre kuingiza sauti leo usiku na kisha
kuongezea maujuzi pia akiwa kama producer..
kuonyesha furaha ya kukamilisha asilimia kubwa
ya kazi hiyo Linex ameamua kushare na mashabiki
zake kupitia ukurasa wake wa facebook kwa kuandika status hii
Linex Sunday:
Siku ya leo imekua nzuri sana kwangu nimepiga kazi na mtu nnaemzimiaga kitambo linex ft wyre cumn soon but sita ahidi ni lini itatoka but saiz ndo kazi imeisha God is good
|
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment