Recent Comments

DIAMOND AWASILI UINGEREZA SALAMA......

Napenda kumshukuru mungu kwa siku ya juzi....na mpaka leo hii....Niliwasili salama
Jijini London Kwa ajili ya show ya Jumamosi tarehe 27...ambay nileo hii...
niliwasili along side with Na silaha zangu hatari Mose Iyobo & Dumi utamu
kwa ajili ya kukinukisha ndani ya jiji la malikia........
Ts Getin Crayz here..........!!
Picha ya pamoja....nikiwa na Victor from left ,Dumi utamu &
Mose Iyobo uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Heathrow...

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment