Hapa tukiwa tumemaliza kupata chakula cha mchana...... with my bwoy Dumi utamu n mose iyobo...... |
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
OFFICIAL WEBSITE FOR OFFICIAL DIAMOND'S PHOTOGRAPHER
Hapa tukiwa tumemaliza kupata chakula cha mchana...... with my bwoy Dumi utamu n mose iyobo...... |
tisha sanaaaaa wacha waseme tumia hela ikuzoeeee wanaoponda ww fanya yako kaka
ReplyDeletedaaaaaaaaah!!!!! no one like you platnumzz ume wapita wote now days awaimbi bila kukuchomekea you just fanya kama huwa sikiii kama ipo ipo2 my kaka
ReplyDeleteupo juu wangu napenda sna nyimbo zako zimetulia big up kama ile ya LEKA DUTIGITE kipande chako nimekizima kweli wangu
ReplyDeletegood brother,u deserve it
ReplyDeleteNafurahi sana unavyowapenda wadogo zako hawa unawajali .wanapendeza inaonekana una jali binaadamu wenzako.Huna malingo unacheka na kila mmoja unamsikiliza kila mmoja unaongea na kila mtu.Mungu ndivyo anavyotaka na ataendelea kukusaidia sana hao wanajifanya maadau zako wataendelea kuaibika sana.Jua mdogo wangu hauwezi kupendwa na watu wote hata yesu hakupendwa na watu wote,Lakini jua wanaokupenda ni wengi kuliko wanaokuchukia endelea kuwaombea Mungu awasaidie maana hata kama wanatukana waombee tu.Mwenyezi mungu atakulipa zaidi.Nimefurahi pia naona kila tukio unamtanguliza mwenyezi Mungu safi kabisa.Nasi tunakuombea kwa mungu uishi maisha marefu na akulinde na maadui
ReplyDelete