Recent Comments

UK TOUR : DIAMOND AFANYIWA INTERVIEW NA SPORAH

Napenda kumshukuru Mwenyzi Mungu kwa siku ya leo.....
Nikiwa mbali na uso wa nyumbani...
Nikiwa Mwenye Afya tele na Furaha tele....Mimi na
Dancers wangu kwa ujumla tukiwa bado kwenye
Tour yangu Nchinu Uingereza....!! Siku ya leo baada ya kuwaa
na mizunguko ya hapa na pale
midaa ilipowadia nilikuwa na Mualiko wa Interview kwenye
kipindi chenye Umaarufu mkubwa
nchini Uingereza na Africa nzima kinachoendeshwa na
 Mwanadada Nguli Mtanzania,Sporah..!!
Kipindi kinachoruka kwenye channel nyingi barani
africa na Tanzania wa ujumla...!!

Zifuatazo ni picha kadhaa wakati nawasili kwenye Kipindi
cha Sporah show na Interview Nzima!
On set Nikijiweka tayari....msaf as always .....presdent himself mwenyewe!!!
Hii nikiwekwa sawa kabla ya Interview na sporah.....Backstage!!

Hapa nikiwasili kwenye Studio za sporah show...with my
craizee boys from left Dumi Utamu & Right
Moses Iyobo.......WASAAFIIIII

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments:

  1. keep it up broooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  2. Brother..i salute you with both handz!! u ma greatest inspiration.#go!goo..PLATNUM >>>R.I.P TZ

    ReplyDelete