Recent Comments

UK TOUR:DIAMOND AZIDI KUTANUA KWENYE NCHI YA MALKIA ELIZABETH

Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa siku kama hii ya leo.....
Nikiwa bado kweye jiji la
Malkia Elizabeth na Dancers wangu Dumi utamu & Moses Iyobo
Salama kabisa tukiwa
Heri wa Bukheri.......Ni siku nyingine nkaona isiwe
mbaya kuwajuza watu wangu
wa Nguvu kuwa Niko salama......Na nipo tayari kuanza
mishemishe za hapa na pale
kuzunguka jiji la malkia elizabeth kufanya
Shopping kama kawaida
Kukamilisha Usafi ni n nini na nini.......kufanya
mikakati kwenda sahawia!!

ZIFUATAZO NI PICHA NIKIZUNGUKA JIJINI LONDON KUFANYA SHOPPING:
With my craiziiiiie Boys Dumi utamu & Mose Iyobo....
Nikiwa na these two guys sehemu
yoyote nakuwa na amani sana...!!
Roaming around kuangalia huku na kule.......mtoto wa kimanyema sina iyana!!
Am Done.......!! Zawadi zenu nyie hapo....!!
Hahahaha Ts craizieee watchu thinkin about.....???!!
Huu ni mkanda Special Outfit kwa ajili ya show 

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. ''Shine bright like a diamond''... Hahahaaa Rihanna hakukosea kaka we mkali..

    ReplyDelete
  2. Wenzio mbona hujawapa pesa ya kununua vitu kaka

    ReplyDelete