Recent Comments

UK TOUR: DIAMOND AKARIBISHWA CHAKULA CHA MCHANA NA MTOTO WA KOVA

Once Again Baada ya Mizunguko ya hapa na pale
shopping kadhaaa na wanyama wangu
Nilipokea simu kutoka kwa Mtoto wa Kamanda Mkuu wa
Kanda ya Dar es salaam,Suleiman Kova
Aishie Nchini Uingereza wakuitwa Hussein Kova,
Alinialika cha mchana kwake...!!
Unajua watanzania tulvy wakarimu sehemu yoyote....
Nami nkaitikia wito nkaamua kufunga safari
na kuenda mpaka Birmingham kujumuika nae na familia
yake kupata chakula cha mchana!!
Nilifurahi sana na kuamini kwa asili aipotei.....na kufuta zile
 fikra zote za kuwa watu wakiishi nje
hususani ulaya ubadilika tabia na mwenendo kuwa na
tabia kama za watu wa mangaribi..!!
Nilipokelewa vizuri kama nipo nyumbani tz..!

ZIFUATAZO NI PICHA MBILI NIKIPATA CHAKULA CHA MCHANA NA HUSSEIN KOVA:
Kitu cha pilau......Pembeni ndizi.....hahhahaha najisikia nyumbani kama
kwa Mama yangu Sandrah mama Naseeb...!! Nikiwa na Hussein kova
mtoto wa Kamanda mkuu kanda ya Dar es salaam Suleiman kova,
aishie Nchini Uingereza...!!
Coke thats my best soft drink Ever.........Nikiwa napata
chakula sehemu yoyote
napendelea sana kupata Coke iwepo pembeni yangu,Basi
chakula kinaenda murua!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment