mwanamuziki Rita Ora amesaini dili la paund 500,000 ili kuwa
kisura wa nguo za brand ya Madonna "Material Girl", mwanamziki
huyo mpaka sasa tayari ameshapiga picha kwa ajili ya
kampeni ya nguo hizo ambazo zinaendeswa na Madge
na mtoto wake wa kike Lourdes.
habari zinasema kuwa Lourdes ni shabiki mkubwa wa
Rita, na ameshahudhuria show zake nyingi , na ndio
aliemshawishi mama yake "Madonna" kumuona Rita,
na Rita nae hakuilazia dam nafasi hiyo kwasababu
pia ni shabiki mkubwa wa queen of pop "Madona".
Rita pia yuko chini ya mikono mizuri ya Jay Z, ambae
alimsaini chini ya Roc Nation tangu akiwa mdogo
|
0 comments:
Post a Comment