Jana kupitia mtandao wa instagram, msanii Suma Lee
ambae siku ya juma nne wiki iliyopita alitambulisha ngoma
yake mpya "Wanasema" ilitengenewa na producer
Lamar, alipost picha inayoonyesha mazungumzo yake
na mtu mwingine {sifahamu ni nani} ambapo alikua
akiambiwa na kutumiwa beat ya wimbo unaofanana
na wimbo wake huo mpya.
nadhani baada ya kusikiliza beat hiyo ndipo alipoamua
kuweka wazi mazungumzo hayo pamoja na kicha cha
habari alichokiandika hivi
"khaaaaa!!!!! hehehe.LAMAR nini hii!!!!! maana unamtia
aibu SUMA LEE. Achekwe na ISMAIL MSWAHILI
aaaaagh!!!! maza!! faza!!!
|
0 comments:
Post a Comment