Habari iliyosambaa hivi sasa kupitia mitandao ya jamii
nchini Kenya na kuwashangaza wakenya wengi ni kuhusu
mwanaume mmoja raia wa kigeni na wasichana 11
waliokamatwa Mombasa kwa tuhuma za kushoot video
ya ngono na mbwa.
Kwa mujibu wa Baraza la Maimamu na Wahubiri wa Kenya
(CIPK) tukio hilo ni la aibu kwa jamii na inahitaji kukemewa.
viongozi hao wametoa wito kwa polisi kufanya uchunguzi
kamili na kuhakikisha kuwa pande zote zinazohusika
zinafikishwa mbele ya sheria bila woga au upendeleo.
Viongozi hao wamebainisha kuwa baadhi ya matukio yanachangiwa
na ukosefu wa msimamo kutoka kwa viongozi wa serikali na
viongozi wa juu, juu ya masuala hayo.
'Hii sasa imefikia hatua ya kusumbua sana, kama binti
zetu wanaweza kwenda nje na kulala na mbwa, na ni polisi pekee
ndio wanaweza kusimamisha uovu huu,w kwa sababu hata
baadhi ya viongozi wetu wa sasa na wa zamani katika serikali
kamwe ameshindwa kujitoa na kuonyesha msimamo wao juu ya masuala hayo 'alisema Sheikh Khalifa Mohammed CIPK.
Sheikh Khalifa amebaini kwamba kuna club nyingi za wacheza
uchi {stripper} na madanguro hasa Mombasa na Kilifi ambapo
wasichana wenye umri mdogo kuwaburudisha wateja wao
huku wakiwa uchi na kuwataka viongozi wa serikali na serikali
kwa jumla kuzifunga sehemu hizo.
haya ndio majina ya watuhumiwa wa kosa hilo. Janeth
Amollo, Christopher Clement Weissenrieder, Mercy
Waithera Karanja, Beatrice Mueni Mwosa, Mary Nyambura Kimani,
Magdaline Wairimu Chege, Celestine Nekesa Sitati,
Dorcus Melisah Indakwa, Lydia Nyaboke Momanyi,
Beatrice Mueni Mwosa, Phidelia Mawia Sollomon,
Anne Wanjiku Gichuki na Cecilia Nzambi Katuku.
|
0 comments:
Post a Comment