Recent Comments

DIAMOND & PREZZO WALIVYOSHAMBULIA JUKWAA KWENYE TAMASHA LA MATUMAINI

7.7.2013 hii ilikuwa siku maalum ya maonesho ya sabasaba
kitaifa lakini katika kuleta watu pamoja
na kujumuika bila kujali dini wala kabila Global walianda
mashindano mbalimbali kwenye siku hii
waliyoipa jina kama Tamasha la Matumaimi mahususi kabisa
 ni kuleta maelfu ya watanzania kwa pamoja
kudumisha amani na upendo kama nchi yetu ilivyo......
Katika Siku ya leo kwenye Tamasha la Matumaini ilikuwemo
michezo tofauti lakini hapa ni kwenye
sehemu ya mwisho ya ratiba hiyo nikimaanisha ule mpambano
kati ya Diamond Platnumz na Msanii aliewakilisha
kutoka Kenya hapa namzungumzia Prezzo.......!!
Tamasha ili limefanyika kwenye uwanja mkuu wa taifa,
Jijini Dar es salaam....!!

Zifuatazo ni Picha kadhaa za Tamasha la Matumaini,mpambano
kati ya Diamond & Prezzo...!!
DJ Rommy Jones akiwasili kwenye uwanja
mkuu wa Taifa Dar es Salaam

Nikipokelewa na Mwakilishi wa Global Publishers
wahusika na waandaji wa Tamasha ili..
V.I.P nikiwa na mazungumzo machache na Mkurugenzi
mtendaji wa Global Publishers
Erick Shigongo...
MY CREW,MY ACCESS WITH WASAFI STAGE MANAGER QBOY MSAFII...
Nikichonga jambo na ndugu yangu nikisubiria kufanya yale yaliyotuleta...
Mwana F.A akishow Love na Msanii toka Kenya
 Prezzo akiwa anaelekea jukwanii...
Prezzo akipunga kofia kwa hewa kuwasalimu
watanzania waliofurika uwanjani hapo...






Prezzo akifanya yake uwanjani...!!

Prezzo akiwa amevalia tshirt yenye bendera mbili,Kenya
 & Tanzania hii akimanisha ana damu mbili....
Kama ujui ngoja nikujuze.......Mama mzazi wa Prezzo ni
Mtanzania kabisa toka mwanza...
Mose Iyobo & Dumi Utamu...
On set wasafi wakijianda kwenda jukwanii....



Afe kipa.....Afe beki lakini ushindi lazima....
Ajajajaja hatari sana Roboti kwa hewa....
Mzee mzima mwenyewe nikawasili sasa kuna ule
msemo usemao nyumbani ni nyumbani...
Twende sasa ni kikwetu kwetu tu
Shuguli ikamia chini sasa....


Nikuakikisha kila mmoja anaweza niona ni mpera mpera tu...
Hapo je......??? Tuimbe wote sasa..


Noma kweli......viuno mbele mbele...!!




Shuguli ikarudi jukwani sasa kila mtu aone kile wasafi
nini tunafanya....ni kujipanga tu
kila idara thanks kwa Twins Fashion kuhakikisha
 tunang'a tukiwa stejini...



Ni huku na kule patashika ya wasafi...
Yanii....mizuka imepanda mule mule yanii....
In Nay wa Mitego voice ''anha nyie watoto mchele mchele...kwenye show
viuno mbele mbele...''
Nimemaliiiizaaaaaaa...!!
Interview baada ya show.....

Choka sana mtu wangu...asikwambie mtu ile
shugulli pale yataka mazoezi na
mapenzi toka moyoni bila kujali mazingira kuhakikisha
unakizi mahitaji ya mashabiki zako


Wasafi dancers & I n My Blood cuzin Rommy Jones.

Hapo sasa kujitia kujua ngumi mwisho wa siku nkapelekewa jebu na
Dancer wangu....usiguse moto huu kabisa....
Hapana chezea...sio muziki tu hata kwenye masumbwi nimo....

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

7 comments:

  1. Diamond, uko sawa tu yani. Napenda sana muziki wako kwani kila niusikiapo tu iwe wapi lazima kiuongo cha mwili wangu kitatamani kucheza na hapo mimi huanza kucheza. Nakutakia mema kaka

    ReplyDelete
  2. tisher sana kaka..big up yu ma hero

    ReplyDelete
  3. mambo shwari babu...kesho ni mimi pia..hope utanikaribisha

    ReplyDelete
  4. JANA ULIFANYA KWELI YAANI KIUKWELI ULITISHA KAMA KAWAIDA YANGU KITU CHA KWANZA NAPENDAGA KUANGALIA MAVAZI PEKE YAKE WATU WALIKUWA UWANJANI WALICHANGANYIKIWA WANGEKUWEKA MWANZONI UWANJA UNGEBAKI MWEUPE NA WAO WALIJUA WAKAUWEKA MWISHONI HAKUNA ALIYETOKA KILA MMOJA ALIKUWA ANAKUSUBIRI KWA HAMU KABISA HATA MIMI MWENYEWE NILICHOKA SANA LAKINI NILIPOSIKIA RAIS WAO BONGO F UPO NIKASEMA HAPANA NITAVUMILIA MPAKA NIONE MAVAZI NA SHOW WEWE NI MKALI UKO JUUUUUU SANA KWA SASA HAUNA MPINZANI KENYE UGANDA WALA TANZANIA HONGERA SANA NAIPENDA SANA NYIE WATOTO MCHELEMCHELE VIUNO MBELEMBELE NA KWANINI UNANIDANGANYA DANGANYA DANGANYA MUNGU AZIDI KUKUWEKA JUUUUUU NA AKUPE MAFANIKIO ZAIDI YA HAYO ULIYONAYO KAZI YAKO INAONEKANA WENYE WIVU WAJINYONGE

    ReplyDelete
  5. sasa mwanangu toa cd za show unapendeza mavazi nyimbo zako hauna mpinza kenya uganda wa Tanzania upu juuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  6. KUMBE UKIMALIZA SHOW UNAKUWA UMECHOKA SANA SIO MCHEZO

    ReplyDelete