Recent Comments

PICHA:ANGALIA MSANII A.Y ALIVYOSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Tarehe 7.7 Siku hii wamezaliwa watu wengi sana dunia
lakini moja wapo akiwemo msanii
Ambwene Yesaya ari maarufu kama A.Y nae
amezaliwa tarehe kama hiyo...
Msanii huyo mkubwa na nguli wa nchini humu katika
kusherekea Mungu kumjalia kuona
Ungwa nyingine ya mwaka wa maisha yake
alisherekea pamoja na rafiki zake
wa karibu kwenye sherehe ambayo iliudhuriwa
 na watu wa karibu na A.Y
Kutokana na A.Y kutotaka watu wengi bali ni
familia na marafiki wa karibu tu...
This is Diamond inamtakia maisha tele na baraka
 nyingi juu yake,Hekima na maarifa
yatawale juu yake.....

PICHA 10 ZA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA A.Y:


Vanessa Mdee mama wa Closer....
Birthday Boy mwenyewe na best yake kwenye picha ya pamoja

Wooow....HAPPY BIRTHDAY TO A.Y




Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment