Zanzibar Internationa Film Festival bado inaendelea kisiwani zanzibar..... Tuzo nyingi zimetolewa hadi sasa lakini hii imebeba upande mkubwa kwenye sana ya tanzania hususani Bongo Movie baada ya kutoka kapa lakini hii Muigizaji Lulu Michael amewatoa kimaso maso....Katika tuzo hiyo Lulu michael ameshinda kama Msanii bora wa kike kwenye filamu za kiswahili huku filamu iliyombeba ni ya WOMEN OF PRINCIPLE akiwa amechezeshwa na Msanii nguli vicent kigosi kupitia RJ COMPANY....
Hongera kwa Lulu kwa kufanya vyema kwenye filamu hiyo mpaka kuweza kuwavutia watoaji tuzo hii kukupa heshima kubwa kama muigizaji bora wa kike kutoka swahili movie....
This is Diamond inampa hongera tele na azidi kufanya vizuri kwenye kazi yake ya sanaa
0 comments:
Post a Comment