Recent Comments

PENIEL AMFANYIA SUPRISE YA BIRTHDAY MAMA YANGU KIPENZI BI SANDRAH

Hadi sasa nashindwa kuelewa lakini ntaelewa tu......ni mapenzi ya
dhati juu ya mama yangu mzazi.....
Siku ya jana ilikuwa siku njema kwangu na kwenye maisha yangu,ni
siku ambayo mama yangu mzazi
amezaliwa 7.7....


Kutokana na majukumu na kazi kuingiliana nilishindwa kufanya
chochote kama mnavyojua nilikuwa
na kibarua kizito kinanisubiri uwanja wa taifa kwenye tamasha la
matumaini so nsingweza kufanya
vitu viwili kwa wakati mmoja.....
Lakini chakushangaza kabisa nimewasili usiku na crew
yangu natokea kwenye show
nikakuta nimeachiwa kipande cha keki sikuelewa imetoka
wapi kwa kuwa mihadi yangu na mama yangu
ilikuwa ni jumatatu ya leo kumpeleka kula chakula cha jioni
kusherekea siku yake hiyo kutokana na
majukumu ya kazi kuingiliana....
Nilichostajabishwa ni hiki na kufurahishwa sana mpaka
 kufikia machozi kunilenga
ni pale nilipokutana na picha hizi na kuziangalia.....
Kiukweli nilikuwa sijui chochote na hadi hapa
 navyoandika naona kama ndoto....
Nimejaribu kumuuliza mama yangu nae anasema akutambua
 kama kingekuwa kitu hiko laasha
alipigiwa simu kwenda kwa mazungumzo ya biashara kati

yake na peniel na ghafla kukuta
familia na marafiki wakimsubiri wakiongozwa
na PENIEL MUNGIRWA aliyefanya usiku wa mama
 yangu kuwa wa furaha kabisa....
Shukrani za zati kwake kwa moyo wa ukarimu na mwenyezi
 mungu azidi kumzidshia na amfanyie
wepesi wa kila jambo lake la kheri......
Nami nikaona nisishuudie pekee yangu basi na wewe shabiki
yangu tuangalie wote kilichojiri pale Protea hotel,masaki jijini
Dar es salaam.....!!
Mazaga zaga kwenye meza....
Bi sandrah akimlisha keki dada yangu Esmah Khan...

Familia ikiwa imekusanyika sehmu moja
Makulaji tena....hapana chezea sehemu hii wewe
Esmah khan First born wa mama naseeb dada yake na 
mimi akiwa na mama Bi Sandrah

Bi Sandrah & Uncle Salu...

Mtu na ......??? hahahaha malizia mwenyewe.... Penil akimlisha keki Bi Sandrah

Uncle Salum akimlisha keki Bi Sandrah
Diana Akilishwa keki na Shangazi yake kipenzi....chezea shangazi wewe...
Dada yake mimi......Halima kimwana akimlisha keki mama yangu

Kutoka kushoto dada yangu Esmah khan,Bi Sandrah & Uncle Salu
Bi Mwa J Akimlisha dada yake keki....Mtu na dada yake..!!
Peniel Mngazija na Mama Naseeb....
Bi Sandrah akimlisha keki dada yake Bi Mwa J....
Bi Sandrah akimlisha Mjomba wake na Peniel Mungirwa...
kwa mujibu wa wahusika waliokuwepo kwenye sherehe hiyo wanasema
huyu mtu aliwafurahisha sana kiasi kwamba ata kama ulikuja na mawazo kichwani
basi lazima uyasahau coz jamaa ni comedi hatariii

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments:

  1. Xaf xana penny.....shown yow lv 2 mama mkwe thtc hw we do mammy....Bg up xana

    ReplyDelete
  2. ukipenda boga upende na ua lake.mama huyooo kakuzalia mume mpende.na mchumba wako mtarajiwa mpende nilicoment siku za nyuma.ukiona mwanaume anakuweka wazi mbele ya watu na hata kwenye vyombo vya habari kuwa kwa sasa mchumba wangu ni penny umuheshimu sana si kila mwanaume anapenda kuweka wazi mke mchumba Diamond yuko wazi na hana mwengine anajiamini na hata aliokuwa nao hayuko nao tena ndiyo maana amekuweka wazi kila mmoja anajua penny mchumba wa Diamond Muheshim sana na heshim sana familia safiiii sana umenifurahisha endelea hivyo hivyo na moyo huo huo.tunasubiria harusi

    ReplyDelete
  3. kuishi na mkwe kunataka uwe na akili za ziada big up penny

    ReplyDelete