Kwa mujibu wa Jarida na kampuni inayojishugulika na maswala ya utafiti wa kuangalia maendeleo na vipato vya wasanii,waigizaji na watu maarufu dunia,FORBES,hii ndio list ya wacheza filamu nchini Marekani toka Hollywood wanaoongoza kuwa na mshiko mrefu zaidi Duniani.......
NIMEKUPANGIA LIST HII KWA MAJINA NA PESA WANAZOINGIZA:
1:Robert Downey Jr-IRON MAN (75 million$)
2:Channing Tattun-MAGIC MIKE,WHITE HOUSE DOWN(60 million$)
3:Hugh Jackmann-LES MISARABLE,XMAN(55 million$)
4:Mark Walhberg-TED(52 million$)
5:Dwayne 'The Rock' Johnson-Fast & Furious(42 million$)
0 comments:
Post a Comment