Habari za jioni watu wangu wa nguvu,natumahi muu wazima wa
afya kabisa,nimeamua kukuwekea ewe mpenzi wa Blogsite
hii leo historia hii fupi lakini hii ni maalumu kwa wale
wafuatiliaji mpira sana utaweza niele
wa kile nachoongea,kwenye mchezo wa mpira duniani kuna
kalenda zimewekwa maalumu kwa mchezo huo
lakini mchezaji huyu wa duniani mwaka 2012/2013 Lionel Messi
wa Barcelona ameweza vunja rekodi hiyo
kwa kufunga magoli zaidi ya 91 kwenye mzunguko wa kalenda ya
fifa huku akiweka rekodi hiyo akiwa amevunja rekodi ya
mchezaji Gard Muller wa ujerumani alieshikilia rekodi hiyo kwa
kipindi cha miaka 4 nyuma.Kama ulikosa kuona magoli
aliyofunga mchezaji huyo mwenye kasi kwa sasa duniani unaweza
yacheki hapa mtu wangu wa kweli....
Nakutakia siku Njema,usikose kupitia Blogsite yako
hii kupata habari motomoto...!!
0 comments:
Post a Comment