Recent Comments

JAMIE FOXX AWA MTU WA KWANZA KUFANYIWA INTERVIEW NA OPRAH KWENYE KITUO KIPYA CHA OWN

Ni muda mrefu toka mwanamama Oprah Winfrey kuachana na
Tv Talk show na kuamua kufungua
kituo cha Televisheni kiendacho kwa jina la 'OWN' kinachorusha
matangazo ya aina mbalimbali
Mwanzoni mwa mwaka huu....
Tokea kituo hicho kianze kufanya kazi hizo akikuwahi
kurusha inrterview na mtu yoyote maarufu
duniani kama ilivyokuwa kwenye kipindi cha Oprah...
Lakini jana usiku wa tarehe 8/7/2013,ilikuwa Exclusive
Interview ya kituo hicho
na usiku huo ilikuwa Interview na JAMIE FOX mwigizaji
maarufu na msanii wa kuimba mkubwa marekani...!!
Katika Mahojiano hayo yaliusisha maisha yake ya ndani na
muziki anaofanya,na sanaa ya uigizaji na pamoja na
skendo iliyomkumbaa hivi karibuni ya kutembea na mke wa
mchezaji kikapu wa marekani
Kelvin Durant....
Pia aliweza kuzungumizia mafanikio yake aliyopata ndani ya mwaka jaa
hadi mwaka huu kwenye televisheni ya 'OWN'

Jamie Fox ndie mtu maarufu wa kwanza kufanyiwa mahojiano
 kwenye kituo hicho cha
mwanamama mwenye pesa zaidi kuliko wote dunia...

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment