leo niliamua kufanya kautafiti kido kupitia
acount yangu ya facebook nikitaka kujua ni video quenn yupi katendea
haki video yangu ya nyimbo husika ambapo wengi wameonyesha kumkubali
zaidi mwanadada Natasha wa video yangu ya Moyo wangu pia mwanadada
Mawazo,zitizame nawe uone kama walichokisema ni kweli
ama ni mapenzi yao tu binafsi
mawazo ndio mambo yote jokate yupo kileleni,alionyesha hisia za kweli za mapenzi
ReplyDeleteMawazo kali zaidi.mimi unanipi mtihani sana ukimuona kali nyimbo zako na video zako zote kaliiiiiiii
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteDaimond, unaendelea kupanda juu na juu zaidi. Nafurahi sana kwamba unachukua muda kusikiliza maoni ya washabiki wako na unaendelea kun'gaa siku zote.
ReplyDeleteTunakupenda.
Mtu wangu Jokate alitisha sana kwenye mawazo...
ReplyDelete