Recent Comments

LUNCH TIME:NURU THE LIGHT-NSUBIRI USILALE


Video hii iliyotoka wikii mbili zilizopita ndio nakuwekea
 hapa mtu wangu kwaajili ya lunch time wewe hapo pembeni
 ukiwa na kinywaji chako baridi cha Coca-Cola na msosi wako
 basi taratibu kinapanda ukiwa unacheki video hii au vipi bhana..... 
basi inakuwa poa..... Nakutakia mchana mwema na wote
 waliofunga nawatakia fungo njema...Powered By Coca-Cola
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment