Prof Jay akiwa na marehemu mama mzazi enzi za uhai wake |
Habari zilizotufikia mda mfupi uliopita zinasema kuwa wasanii wa
bongo fleva,Z-anto na Prof jay wote wamefiwa na mama zao,ambapo mama
wa leo baada ya kusumbuliwa na tatizo la ini pia mama
wa Prof jay nae amefiwa na mama yake usiku huu..thisisdiamond.com
inawapa pole wafiwa na
mwenyezi Mungu azilaze pema roho za marehem
Z-anto |
0 comments:
Post a Comment