Nyimbo na video mpya ya msanii chipukizi marekani
anaefahamika kwa jina la Willow Smith
mtoto wa Mwanamuziki na Muigizaji filamu
kutoka Hollywood Will Smith.....
Video hii ukiangalia na kusikiliza utaona kabisa mtoto huyu
wa kike amerithi kipaji toka kwa baba
yake na hata singo hii mpya Jina lake linafanana na nyimbo ya baba yake iliyotamba miaka ya 90
inaitwa summer jum,fanya kucheki hii video ukiwa unapata chakula
chako cha mchana sambamba
pembeni ukiwa na kinywaji chako cha Coca-Cola baridi..... kwa
wale waliofunga basi tusubiri
mida yetu sambamba iendane na swala....Nakutakia mchana
mwema Ramadan Kareem...
Powered By Coca-Cola...
0 comments:
Post a Comment