Hizi ni picha amwziweka Rapper Nick minaj
kwenye acount yake ya instagram na picha hizo alikuwa ndani ya club
ya wadada wanaocheza uchi haijajulikana ni
kutafuta kiki ama ni mapenzi yake binafsi kuweka
hadharani picha kama hizo akiwa katika
mazingira kama hayo ukizingatia ni kioo
cha watu na anatizamwa na watu wengi duniani..
0 comments:
Post a Comment