Mastaa Amber Rose na rapper Wiz Khalifa wamefunga ndoa rasmi jana July 8 2013 na sasa ni Mr. and Mrs. Thomaz ambapo muda mfupi baada ya ndoa Amber alitweet “Yay me and my baby are officially married!!!” na kuweka hiyo picha instagram iliyokua na maneno yanasema “Happily ever after.”
0 comments:
Post a Comment