Usiku wa kuamkia leo tarehe 9/7/2013 majira ya saa 8 usiku kwa majira ya saa za afrika mashariki niliona kupitia mtandao wa facebook,msanii wa hip-hop Wiz khalifa akiandika kupitia page yake ya facebook iliyokuwa verified kuwa yeye na mama watoto wake mwanamitindo Amber Rose wamefunga ndoa tarehe 8/7/2013....!! Katika hali ya kuwaacha mashabiki zao katika sintoamini leo majira ya mchana walirudia tena majira ya saa nane kwa muda wa saa za afrika mashariki wawili hao walipost kwa upande huu,alianza Amber Rose mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Rapper huyo kuandika kupitia mtandao wake wa Twitter na Instagram kuwa amefunga ndoa na Mpenzi wake huyo baba wa mtoto wake....
Zicheki Tweets hizi za Mastaa hawa ambao ndoa yao imekuwa ya ghafla ghafla tofauti na ilivyotegemewa kama mastaa wengine ujipanga na kualika watu maarufu kusherekea siku nzuri na muhimu ya maisha ya mwanadamu....!!
0 comments:
Post a Comment