Baada ya kumalizana na miki miki ya hapa na pale jijini na Nairobi kisha kuhamia Mombasa, Niliamua kurudi Nairobi kidogo kabla ya kuondoka kurudi Nyumbani Tz..... Nairobi ni kama nyumbani kwakuwa ni na ndugu pia ata wakubwa zangu,nikisema ndugu aimanishi ni ndugu wa kuzaliwa nae tumbo moja lakini namaanisha ni urafiki wa karibu kati yangu na baina ya watu nchini Kenya ambao nawaamini na kuwathamini....!!
My Best Jaguar ndio alikuwa Mwenyeji wangu nilipowasili tena Nairobi kutokea Mombasa tulipanga tukutane tuweze kujadili mambo mawili, matatu kuhusiana na kazi zetu kiusanii baada ya hapo tupate muda wa kuchil na stori nyingine ziweze kufata zaidi,Namshukuru Mungu kwa kuniweka salama na kuzidi kuniongoza kwenye njia zake na kunibariki zaidi na zaidi,hakuna w akupaswa kumshukuru na kuabudiwa zaidi ya Mwenyezi Mungu.....!
Baada ya Stori kadhaa tullienda kwenye mizunguko,ebhana eeeh hatua ya kwanza tulikuwa tumewasili kwenye ofisi za Ogopa video Production,hahahahahaha ushaelewa wewe....mtu mzima sipaswi kukujuza zaidi.... Hapa along side with My cuzini Blood Rommy Jones & Jaguar mzee wa Kigeugeu.
Baada ya Rapsha za hapa na pale jijini Nairobiiiiii duh si unajua tena kama kawaida yangu nikiwa Bongo ntakimbilia kwa Mama Naseeb au kwa Beib mama lakini hapa nilipelekwa na mwanangu Jaguar hotel moja hvi'kugonga vitu vya kinyama unakula menu Panya haruki yanii panajulikana kama Java.....My Thanks To Jaguar mzee wa kipepeo
Mwisho wa yote ni muda ukawa unazidi kuyoyoma alafu mimi ndo kama vile ilikuwa inanipasa kuondoka nchini kenya Kurudi Tanvile au Bongo DSM kwa Baba Jakaya Nyumbani,au vipi bhana watu wangu wamenimiss, nyumbani ajajajaja sitaki sema mengi Inshallah tukutane nyumbani.......
Aje aje Diamond leliz Lala salama mkuu,2we 2naisikia kweny vipi vya Radio mkuu
ReplyDeletekazi nzuri unakubarika sana wenge wanapenda kazi zako na show zako nikutakie mapumziko mema kenya
ReplyDelete